Mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Mshumaa’, Timbulo amewataka wasanii wasipate presha kipindi hiki ambacho yeye anaachia ngoma mara kwa mara kwani alikaa nje ya ‘game’…
Continue Reading....Author: Allie Pablo Matala
Global peace Foundation Tanzania: Vijana wanaohitimu shule na vyuo waepuke kujiingiza katika matukio ya uvunjivu wa amani.
Taasisi ya Global peace Foundation Tanzania imewataka vijana wa kitanzania kushiriki katika kulijenga taifa pindi wanapohitimu masomo yao wakiwa shule na vyuoni ili kuepuka kujiingiza…
Continue Reading....Siku ya kitaifa ya uelewa juu ya Albino kufanyika Dodoma Juni 13
Chama Cha Watu Wenye Ualbino Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi za Watu Wenye Ulemavu, mashirika mengine yasiyo ya kiserikali na wadau…
Continue Reading....Vyama vya siasa havipo juu ya Sheria, vinapaswa kuheshimu na kufuata Sheria za nchi; Jaji Francis Muntungi
Nimesoma na kuona katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu vurugu zilizotokea tarehe 22 Aprili, 2017 katika hoteli ya Vina, Mabibo hapa Dar es salaam, zinazosemekana…
Continue Reading....Show ya El Classico yamalizwa na Messi sekunde za mwisho.
Mshambuliaji wa Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ndio ameonekana kuwa hatari zaidi kwa kumsababishia Sergio Ramos kupata kadi nyekundu ya 22 katika…
Continue Reading....Shirika la USAID wazindua filamu ya TUNU
shirika la watu wa marekani USAID limezindua filamu ya TUNU ambayo ni Kiswahili ikiwan imechezwa na waigizaji wa kitanzania, huku ikiwa na lengo la kuleta…
Continue Reading....