Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 725

Author: jomushi

Ilala Kudhibiti Uzito wa Magari, Kujenga kwa Zege Barabara…!

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Ilala Kudhibiti Uzito, Magari, Zege Barabara
Ilala Kudhibiti Uzito wa Magari, Kujenga kwa Zege Barabara…!

Na Mwandishi Wetu, Dar HALMASHAURI ya Ilala imepanga kuunda kitengo kitakachodhibiti uzito wa magari kwa kuweka mizani zinazohamishika katika maingilio yote ya barabara kuu za…

Continue Reading....

Usajili Maombi ya Vitambulisho Waanza Morogoro

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Morogoro, Usajili, Vitambulisho
Usajili Maombi ya Vitambulisho Waanza Morogoro

MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Imeanza rasmi zoezi la Usajili na Utambuzi wa Watu Mkoa wa Morogoro pamoja na uchukuaji alama za vidole, picha…

Continue Reading....

Wasichana Milioni 58 Waolewa Chini ya Miaka 18…!

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Waolewa Chini ya Miaka 18, Wasichana Milioni 58
Wasichana Milioni 58 Waolewa Chini ya Miaka 18…!

Na Anna Nkinda – Maelezo, New York ZAIDI ya wasichana milioni 58 Duniani wameolewa wakiwa na umri wa chini ya miaka 18 kati ya hao milioni…

Continue Reading....

Zaidi ya Milioni 414.9 Zatolewa Kuwasaidia Vijana

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: Kuwasaidia Vijana, Milioni 414.9
Zaidi ya Milioni 414.9 Zatolewa Kuwasaidia Vijana

Na Daud Manongi MFUKO wa Maendeleo ya Vijana (YDF) umeendelea kuwa miongoni mwa fursa zinazowasaidia vijana katika kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira miongoni…

Continue Reading....

Bunge la Katiba Labadili Kanuni, Wabunge Kupiga Kura Popote

Posted on: September 23, 2014 - jomushi
Post Tags: bunge la katiba, Kura Popote, wabunge
Bunge la Katiba Labadili Kanuni, Wabunge Kupiga Kura Popote

Na Benedict Liwenga, Maelezo – Dodoma   BUNGE Maalum la Katiba limefanya marekebisho ya kanuni ili kuliwezesha kufikia hatua ya mwisho ya upigaji kura kuanzia…

Continue Reading....

Msafiri Diof wa Twanga Pepeta Avunja Mayai Jukwaani

Posted on: September 22, 2014 - jomushi
Post Tags: Mayai, Msafiri Diof, Twanga Pepeta
Msafiri Diof wa Twanga Pepeta Avunja Mayai Jukwaani

RAPA nyota na mwimbaji wa muziki wa dansi, Msafiri Diof ambaye kwa sasa amerudi katika Bendi ya Twanga Pepeta juzi aliwashangaza mashabiki wa bendi hiyo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari