ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa muziki wa dansi toka bendi ya Twanga pepeta, Aisha Madinda aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam. Awali mazishi ya msanii…
Continue Reading....Author: jomushi
TTCL Yazinduwa Dili la Ukweli, Kutoa Modem Bure
KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imezinduwa huduma mpya kabambe ambayo inampa mteja wa kapuni hiyo fursa ya kufurahia modem ya bure na vifurushi vya intaneti…
Continue Reading....Dk. James Mataragio Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa TPDC, JK Ateuwa Msaidizi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dk. James P. Mataragio kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania…
Continue Reading....Waziri wa Fedha Afunga Kongamano la Hifadhi ya Jamii
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akitoa hotuba ya kufunga kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu hifadhi ya Jamii lililoanza Disemba 15-17, 2014 jijini…
Continue Reading....Sakata la Escrow: Prof. Tibaijuka Asema Hawezi Kujiuzulu Kwenye Mafanikio…!
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesema kamwe awezi kujiuzulu wadhifa wake kwa kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow iliyomkumba…
Continue Reading....Naibu Mkurugenzi UNESCO Awasili Dar es Salaam
Ofisa mwandamizi wa habari na mahusiano ya umma wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Bw. Karimu Meshack (kushoto) akijadiliana jambo ndani chumba…
Continue Reading....