Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 633

Author: jomushi

Mbunge Adai Kuvuliwa Nguo Bungeni

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Mbunge Adai Kuvuliwa Nguo Bungeni

KUFUATIA vurugu na purukushani zilizoonekana katika bunge la Kenya wakati wa kupitishwa kwa mswada wa usalama, mbunge mmoja mwanamke sasa amejitokeza na kudai kwamba wabunge…

Continue Reading....

Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Friends Rangers, Ndanda FC
Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara, katika…

Continue Reading....

Kajala Amwaga Mihela kwa Wasanii…!

Posted on: December 19, 2014December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Kajala, wasanii
Kajala Amwaga  Mihela kwa Wasanii…!

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti…

Continue Reading....

Bi. Twitikege: Mama wa Wanahabari Aliyefariki Siku ya Kuzaliwa

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Bi. Twitikege, Wanahabari Aliyefariki
Bi. Twitikege: Mama wa Wanahabari Aliyefariki Siku ya Kuzaliwa

  Ankal Muhidin Issa Michuzi akimfariji Dotto Mwaibale (mwanahabari) wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa Mbeya kwa mazishi,…

Continue Reading....

Mtandao wa Wanawake na Katiba Waeleza Sababu za Kuunga Mkono Katiba Inayopendekeza

Posted on: December 19, 2014December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Mtandao wa Wanawake na Katiba, TAMWA, Wahariri
Mtandao wa Wanawake na Katiba Waeleza Sababu za Kuunga Mkono Katiba Inayopendekeza

MTANDAO Wanawake na Katiba nchini pamoja na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) wamesema wanaunga mkono Katiba iliyopendekezwa na kujivunia hatua waliopiga katika kudai haki mbalimbali…

Continue Reading....

Mama Kikwete Awaasa Vijana Uzinduzi UWAMAKI

Posted on: December 19, 2014 - jomushi
Post Tags: Mama Kikwete, Uzinduzi UWAMAKI
Mama Kikwete Awaasa Vijana Uzinduzi UWAMAKI

Na Anna Nkinda – Maelezo VIJANA wametakiwa kujiunga na vikundi vya kuweka akiba na kukopa ili kuchangia mawazo yao  na ubunifu na wakati huo huo wanajitengenezea…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari