Author: jomushi
Jiji Latafuta Suluhisho la Ombaomba na Wamachinga
Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam JIJI la Dar es salaam linaangalia utaratibu wa kuwaondoa ombaomba na wafanyabiashara ndogondogo(wamachinga) katika maeneo yasiyoruhusiwa katika jiji…
Continue Reading....Waziri Pinda Asema Serikali Inatafuta Soko la Utalii UAE
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini…
Continue Reading....Mnenguaji Aisha Madinda Afariki Dunia Leo
ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa Bendi ya Twanga Pepeta, ‘African Stars’ na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ambazo mtandao…
Continue Reading....Rais Kikwete Aungana na Wanahabari Kutoa Pole Msiba wa Mama wa Wanahabari
Kulia ni Kulwa na kushoto ni Dotto Mwaibale wakiwa na sura za Majonzi wakati wa Ibada fupi ya Kumuombea Mama yao Mpendwa kabla ya…
Continue Reading....Mkutano wa Kimataifa wa Hifadhi ya Jamii
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Pindi Chana (kulia) akizungumza katika mkutano wa siku tatu wa kimataifa unaohusu hifadhi ya jamii…
Continue Reading....