Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 594

Author: jomushi

Beach Soccer; Tanzania Kuivaa Kenya, Twiga Kutinga Kambini

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Beach Soccer, Kenya, Twiga
Beach Soccer; Tanzania Kuivaa Kenya, Twiga Kutinga Kambini

  TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Soka la Ufukweni (Beach Soccer) kesho jumamosi itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya Taifa ya Kenya,…

Continue Reading....

DCP Mstaafu wa Polisi Andrew Kumalilwa Azikwa

Posted on: February 20, 2015February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Polisi
DCP Mstaafu wa Polisi Andrew Kumalilwa Azikwa

   Jeneza lenye Mwili wa marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ukiwa tayari kushushwa nyumbani kwake Tabata Segerea ambapo misa ya kumuombea na kutoa heshima za…

Continue Reading....

Watafutaji Nyumba Sasa Kutumia Simu, Lamudi Yarahisisa

Posted on: February 20, 2015February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Lamudi, Nyumba za Kupanga, tanzania
Watafutaji Nyumba Sasa Kutumia Simu, Lamudi Yarahisisa

WATAFUTAJI nyumba za kupanga, nyumba za kununua pamoja na uuzaji wa bidhaa mbalimbali nchini Tanzania sasa wamerahisishiwa kupata huduma hizo kwa kutumia simu ya mkononi.…

Continue Reading....

NEMC Yakifunga Kiwanda cha 21st Century

Posted on: February 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Kiwanda cha 21st Century, Morogoro, NEMC
NEMC Yakifunga Kiwanda cha 21st Century

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIWANDA cha nguo cha 21st Century kilichopo eneo la Kihonda Mkoani Morogoro kimefungiwa na Baraza la Taifa la Hifadhi…

Continue Reading....

Kiongozi CCM Aanguka Kikaoni Afariki Dunia

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Afariki Zanzibar, CCM, Kiongozi
Kiongozi CCM Aanguka Kikaoni Afariki Dunia

SALMIN Awadhi Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amefariki dunia baada ya kuanguka akiwa katika kikao cha CCM Ofisi Kuu…

Continue Reading....

Tigo Kutumia Bilioni 221 Kupanua Mtandao Wake

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Kupanua, Mtandao, Tigo
Tigo Kutumia Bilioni 221 Kupanua Mtandao Wake

 Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Cecile Tiano akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu  mipango ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari