Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 595

Author: jomushi

IFM Yakanusha Kumpigia ‘Kampeni’ Lowassa

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: IFM, Kampeni, Lowassa
IFM Yakanusha Kumpigia ‘Kampeni’ Lowassa

SERIKALI YA WANAFUNZI CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM-SO) YAKANUSHA KUMPIGIA DEBE LOWASSA SERIKALI ya wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFMSO), kupitia msemaji…

Continue Reading....

Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Japani, Sekondari, Wama
Japani Kuipanua Sekondari ya Wama kwa Milioni 900

Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) na Serikali ya Japani wametiliana saini mkataba wa mradi wa upanuzi wa shule ya…

Continue Reading....

Watafiti, Wataalamu Wapewa Wito Matumizi ya Takwimu

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Takwimu, Wataalamu, Watafiti
Watafiti, Wataalamu Wapewa Wito Matumizi ya Takwimu

Na Aron Msigwa, Dar es Salaam SERIKALI imetoa wito kwa watafiti na wataalam kutoka vyuo vikuu, taasisi za elimu na mashirika binafsi kushiriki kikamilifu kuhamasisha jamii…

Continue Reading....

Vijana Wapewa Mafunzo Juu ya Mikopo, Kasulu-Kigoma

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Kasulu, Kigoma, Mikopo
Vijana Wapewa Mafunzo Juu ya Mikopo, Kasulu-Kigoma

Continue Reading....

Ujue Urembo Bila Vipodozi, Yajue Manufaa ya Kula Vyakula ‘Vibichi’

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Saladi, Urembo, Vipodozi
Ujue Urembo Bila Vipodozi, Yajue Manufaa ya Kula Vyakula ‘Vibichi’

NDIVYO. Hii haina mjadala kabisa. Kama ukisikia moto huharibu vyakula katika mapishi basi kinyume chake ni kuwa ukila vyakula visivyopikwa utakuwa umegeuza mambo na utakuwa…

Continue Reading....

UN Yaomba Juhudi Ziongezwe Kukabili Wauaji Albino

Posted on: February 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Albino, Mauaji, UN
UN Yaomba Juhudi Ziongezwe Kukabili Wauaji Albino

Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari