Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 577

Author: jomushi

Rais Kikwete Awafariji Waliokumbwa na Mvua ya Mawe

Posted on: March 13, 2015March 14, 2015 - jomushi
Post Tags: Kahama, Mvua ya Mawe, Rais Kikwete
Rais Kikwete Awafariji Waliokumbwa na Mvua ya Mawe

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Machi 12, 2015, alifanya ziara maalum ya kutoa pole kwa wahanga wa mvua iliyoandamana na mawe…

Continue Reading....

Nakala Milioni 1.3 Katiba Pendekezwa Zasambazwa

Posted on: March 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Katiba Pendekezwa, Nakala
Nakala Milioni 1.3 Katiba Pendekezwa Zasambazwa

*Nakala zaidi ya 650,000 kusambazwa kwenye taasisi WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema hadi kufikia Februari 26, mwaka huu, Serikali imekwishasambaza jumla ya nakala 1,341,300 za…

Continue Reading....

ZOEZI LA UANDIKISHAJI NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY KUENDELEA ZANZIBAR NA PEMBA VIWANJA VYA AMANI NA GOMBANI

Posted on: March 13, 2015 - jomushi
Post Tags: NSSF Real Madrid, Sports Academy, Zanzibar
ZOEZI LA UANDIKISHAJI NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY KUENDELEA ZANZIBAR NA PEMBA VIWANJA VYA AMANI NA GOMBANI

ZOEZI LA UANDIKISHAJI NA MAJARIBIO KWA WACHEZAJI WATAKAOJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY LITAENDELEA MJINI ZANZIBAR NA PEMBA TAREHE 14/03/2015 NA…

Continue Reading....

Paspoti ya Gladness Martin Brush Yaokotwa…!

Posted on: March 13, 2015March 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Paspoti, Yaokotwa
Paspoti ya Gladness Martin Brush Yaokotwa…!

  BI GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA…

Continue Reading....

Uzazi Unavyowakatisha Maisha Halisi Wasichana…!

Posted on: March 13, 2015 - jomushi
Post Tags: Mapema kwa Wasichana, Uzazi
Uzazi Unavyowakatisha Maisha Halisi Wasichana…!

Na Anna Nkinda – Maelezo MSICHANA mmoja kati ya wanne wenye umri wa miaka 15 hadi 19 ni mjamzito au anamtoto idadi hii inawakilisha maisha yao…

Continue Reading....

Nsajigwa Kennedy Mwang’onda Anatafutwa na Familia Yake

Posted on: March 13, 2015 - jomushi

Familia ya Marehemu Robert Mwang’onda wa Mabibo jijini Dar es Salaam wanatangaza kupotelewa na ndugu yao Nsajigwa Kennedy Mwang’onda ambaye aliondoka nyumbani Mabibo CCM –…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari