Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 34

Author: jomushi

Balozi Mahiga Ampokea Mkuu Mpya wa Shirika la UN Kuendeleza Viwanda Tanzania

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
Balozi Mahiga Ampokea Mkuu Mpya wa Shirika la UN Kuendeleza Viwanda Tanzania

    Na Stella Vuzo WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Augustine Mahiga leo amepokea hati za utambulisho za mwakilishi…

Continue Reading....

Kampuni ya Simu ya Halotel Yashusha Neema kwa Wateja Wake

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
Post Tags: Halotel
Kampuni ya Simu ya Halotel Yashusha Neema kwa Wateja Wake

    KAMPUNI ya mawasiliano ya simu ya Halotel, imezindua kampeni mpya ya Switch to Halotel, yenye lengo la kuwahamasisha Watanzania kujiunga na Mtandao huo…

Continue Reading....

Moto Mkubwa Waua Watu Kadhaa London

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
Moto Mkubwa Waua Watu Kadhaa London

    MOTO huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza majira ya saa 01:16, saa za Uingereza. Hata hivyo Idara ya wazima moto jijini London…

Continue Reading....

Kiongozi Wabunge wa Congress Anusurika Kuuwawa kwa Risasi

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
Kiongozi Wabunge wa Congress Anusurika Kuuwawa kwa Risasi

KIONGOZI wa Wabunge waliowengi wa Bunge la Congress nchini Marekani, Steve Scalise amenusurika kufa baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya mchezo…

Continue Reading....

Max Malipo Yazaliwa Upya, Maxcom Africa Public Ltd

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
Max Malipo Yazaliwa Upya, Maxcom Africa Public Ltd

    Mjumbe wa Bodi ya kampuni ya Maxcom Africa Dr. Donalth Ulomi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza hati iliyopewa kampuni hiyona…

Continue Reading....

DC Hai ‘Avamia’ Shamba la Mbowe, Ang’oa Mfumo wa Umwagiliaji…!

Posted on: June 14, 2017 - jomushi
DC Hai ‘Avamia’ Shamba la Mbowe, Ang’oa Mfumo wa Umwagiliaji…!

  Mkuu wa Wilaya ya Hai ,Gelasius Byakanwa akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Hai katika lango la kuingilia katika shamba la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari