Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 3

Author: jomushi

JWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB

Posted on: August 7, 2017 - jomushi
Post Tags: Banki ya NMB PLC
JWTZ wapokea vifaa vya michezo kutoka NMB

        Na Mwandishi Wetu, BENKI ya NMB leo imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) inayotarajia kushiriki…

Continue Reading....

KATIBU MKUU NYAMHANGA AAGIZA UJENZI MIZANI BARABARA YA DODOMA – BABATI

Posted on: August 7, 2017 - jomushi
KATIBU MKUU NYAMHANGA AAGIZA UJENZI  MIZANI BARABARA YA DODOMA – BABATI

    KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga, amewaagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mikoa…

Continue Reading....

Rais Magufulia Awagawia Watoto Maziwa Akitembelea Viwanda Tanga

Posted on: August 7, 2017 - jomushi
Post Tags: Viwanda Tanzania
Rais Magufulia Awagawia Watoto Maziwa Akitembelea Viwanda Tanga

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi alipowasili  kufungua rasmi  kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo ya Maweni jijini…

Continue Reading....

Wizara ya Nishati Waanzisha Mfumo Rahisishi wa Taarifa

Posted on: August 7, 2017 - jomushi
Wizara ya Nishati Waanzisha Mfumo Rahisishi wa Taarifa

Na Mathias Canal, Lindi WIZARA ya Nishati na Madini imetambua kadhia iliyokuwa inawakumba wananchi kupata taarifa sahihi na za uhakika kuhusu masuala ya nishati jadidifu…

Continue Reading....

MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO KWA ELIMU

Posted on: August 6, 2017 - jomushi
MHANDISI LWENGE AIPONGEZA WIZARA YA KILIMO KWA ELIMU

  Mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Greyson Lwenge Akisisitiza jambo mara baada ya kutembelea Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi wakati wa Maonesho…

Continue Reading....

NEWALA YAKABILIWA NA UHABA WA MAOFISA UGANI NA MIFUGO

Posted on: August 6, 2017 - jomushi
NEWALA YAKABILIWA NA UHABA WA MAOFISA UGANI NA MIFUGO

Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk. Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo chenye tija  kwa wakulima wa Mkoa wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari