Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,240

Author: jomushi

Mkutano wa wahariri Arusha waanza

Posted on: July 14, 2011 - jomushi
Mkutano wa wahariri Arusha waanza

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda aliyesimama akizungumza katika mkutano wa wahariri mjini Arusha jana. Kutoka kulia ni Mwenyekiti…

Continue Reading....

Jaji Bomani afungua mkutano wa Wahariri Arusha, awataka kulinda maadili ya taaluma

Posted on: July 14, 2011July 14, 2011 - jomushi
Jaji Bomani afungua mkutano wa Wahariri Arusha, awataka kulinda maadili ya taaluma

Na Mwandishi Wetu, Arusha. MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Serengeti Breweriers (SBL), Jaji Marck Bomani, amewataka wahariri wa habari nchini kutokubali kufanya…

Continue Reading....

Safari ya mkutano wa wahariri na matukio katika picha

Posted on: July 14, 2011 - jomushi
Safari ya mkutano wa wahariri na matukio katika picha

Safari ilianzia hapa (Dar es Salaam) kwa kutumia mabasi ya kisasa ya Kampuni ya Metro kuendelea mkoani Arusha. “Haina majotrooooooooooo” ni burudani kwenda mbele. Baadhi…

Continue Reading....

Mshindi Redds Miss Temeke kunyakua mil 2

Posted on: July 14, 2011 - jomushi
Mshindi Redds Miss Temeke kunyakua mil 2

Baadhi ya vimwana wanaoshiriki Redds Miss Temeke wakifanya mazoezi kujiandaa na mpambano huo. KAMBUNI ya BMP waandaaji wa shindano la Redds Miss Temeke jana ilitangaza…

Continue Reading....

Yametimia CCM, Rostam ajivua gamba, aachia nafasi zote CCM

Posted on: July 13, 2011 - jomushi
Yametimia CCM, Rostam ajivua gamba, aachia nafasi zote CCM

Aliyekuwa Mbunge wa Igunga Rostam Azziz. HOTUBA YA MHE.ROSTAM AZIZ KWA WAZEE WA IGUNGA TABORA LEO UTANGULIZI WAZEE wangu, kwanza kabisa kabla ya kueleza kile…

Continue Reading....

Barrick yatoa bilioni 3.2l/- kwa mradi wa maji Shinyanga

Posted on: July 13, 2011 - jomushi
Barrick yatoa bilioni 3.2l/- kwa mradi wa maji Shinyanga

KAMPUNI ya uwekezaji kwenye sekta ya madini ya African Barrick Gold (ABG) kupitia mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari