BARAZA la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Dar es Salaam limesema uamuzi uliofanywa na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Igunga Rostam Azizi ni…
Continue Reading....Author: jomushi
TFF yaweka hadharani uhamisho wa wachezaji mbalimbali
UHAMISHO WA WACHEZAJI 2011/2012 Uhamisho wa wachezaji wa Ligi Kuu kwa msimu wa 2011/2012 ulifikia tamati jana saa 6 kamili usiku. Wachezaji ambao maombi yao…
Continue Reading....dev.kisakuzi.com yashinda tuzo mbili mashindano ya blog Tanzania
Moja ya cheti cha ushindi ambacho dev.kisakuzi.com imekabidhiwa baada ya ushindi. WEBSITE ya kimataifa ya Thehabari (dev.kisakuzi.com) imeshinda tuzo mbili katika mashindano yalioendeshwa na taasisi…
Continue Reading....Wafanyakazi SBL wawagagadua wahariri 1-0
Mgeni rasmi wa mchezo huo, Joseph Kulangwa ambaye pia ni Mhariri Mkuu wa Habari Leo (kulia) akisalimiana na mmoja wa wachezaji wa timu ya Serengeti…
Continue Reading....Wahariri watembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti Moshi
Wahariri wa habari nchini Tanzania kutoka vyombo mbalimbali wakitembelea kiwanda cha Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Ltd) kilichopo mjini Moshi jana baada ya kumaliza mkutano…
Continue Reading....Kilango achachamaa bungeni, amshushua Ngeleja
*Asema hataki chai, anataka umeme Dodoma ILE siku iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wabunge imewadia ambapo mbunge wa Same Mashariki, Anna Kilango (CCM), amekuwa wa…
Continue Reading....