Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,237

Author: jomushi

Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

KOCHA Mkuu wa timu za Taifa za vijana, Kim Poulsen jana alitangaza kikosi cha wachezaji 30 wanaounda timu yenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro…

Continue Reading....

Kocha mkuu Simba kutua Dar

Posted on: July 19, 2011 - jomushi
Kocha mkuu Simba kutua Dar

KOCHA mkuu wa timu ya soka ya Simba, Mganda Mosses Bassena atarajiwa kuingia nchini kukinoa kikosi kwa ajili ya Simba Day na mchezo wa ngao…

Continue Reading....

Airtel Rising Star kuanza leo

Posted on: July 19, 2011 - jomushi
Airtel Rising Star kuanza leo

MASHINDANO ya vijana chini ya miaka 17 yaliyopewa jina la ‘Airtel Rising Star’ yataaza kutimua vumbi leo, ambapo Mkoa wa Dar es Salaam utatumika kupitia…

Continue Reading....

Simba yaifuata Yanga Taifa

Posted on: July 19, 2011 - jomushi
Simba yaifuata Yanga Taifa

Uwanja wa Taifa unavyoonekana kwa nje. KLABU ya Simba imefuata nyayo za watani wao wa jadi Yanga, baada ya kuamua kuomba Uwanja wa Taifa kama…

Continue Reading....

Ngeleja, Katibu wake ‘matatani’, wabunge wagomea bajeti yake

Posted on: July 19, 2011 - jomushi
Ngeleja, Katibu wake ‘matatani’, wabunge wagomea bajeti yake

Waziri Ngeleja akizungumza bungeni. Dodoma, IDADI kubwa ya wabunge wakiwemo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wameikataa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, na Serikali…

Continue Reading....

Matapeli yaingilia mawasiliano ya ‘wahariri’ Tanzania

Posted on: July 19, 2011 - jomushi
Matapeli yaingilia mawasiliano ya ‘wahariri’ Tanzania

Nevilli Meena (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Absalon Kibanda. Na Mwandishi Wetu WATU wasiojulikana wameingilia mawasiliano ya mtandao ya Katibu Mkuu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari