Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,500

Author: jomushi

Serikali Kulipa Bilioni 3.1/- za Posho ya Wenyeviti wa Vitongoji

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Serikali Kulipa  Bilioni 3.1/- za Posho ya  Wenyeviti wa Vitongoji

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema fedha zote ambazo wenyeviti wa vitongoji wanaidai Serikali kama posho ya usimamizi wa zoezi la sensa ya makazi na watu…

Continue Reading....

Simba Yapata Naasi ya 3 Kombe la Uhai

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Simba Yapata Naasi ya 3 Kombe la Uhai

Simba imetwaa nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Uhai inayoshirikisha timu zenye umri chini ya miaka 20 za klabu za Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Jeshi la Polisi Katavi Lapokea Msaada wa Jezi

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Jeshi la Polisi Katavi Lapokea Msaada wa Jezi

Jeshi lapolisi mkoani Ktavi limepokea jezi za mpira wa mchezo wa miguu kwalengo kuendeleza uhusiano wa polisi shirikishi pichani anaonekana mbunge wa viti malumu mkoa…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Azindua Mradi wa Umeme wa Jua wa 910M/-

Posted on: December 24, 2012December 24, 2012 - jomushi
Waziri  Mkuu Azindua Mradi wa Umeme wa Jua wa  910M/-

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezindua mradi wa umeme jua (solarpower) wenye thamani ya sh. milioni 910 kwa ajili ya shule za sekondari na zahanati katika…

Continue Reading....

Serikali Yatahadhalishwa Mauaji ya Mkoani Mara

Posted on: December 23, 2012 - jomushi
Serikali Yatahadhalishwa Mauaji ya Mkoani Mara

George Marato-Musoma SIKU chache baada ya kutokea kwa mauji ya kinyama na kutisha katika wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara,Serikali imeombwa kuacha mdhaa na…

Continue Reading....

Baragoi Kenya wavamiwa na kuporwa mifugo

Posted on: December 23, 2012December 23, 2012 - jomushi
Baragoi Kenya wavamiwa na kuporwa mifugo

HABARI kutoka Kenya zinasema watu wanaotuhumiwa kuwa majambazi wamevamia kijiji kimoja karibu na mji wa Baragoi, kaskazini magharibi mwa Kenya na kuiba mamia ya mifugo.…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari