Aliyekuwa Waziri wa Fedha atembelea Wizara ya Fedha Nanenane

Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kulia) akisalimiana na Afisa Uhusiano wa Chuo cha Mipango Sara Mmari (kushoto) mjini Dodoma wakati alipotembelea banda la  Wizara ya Fedha kwenye  maonyesho ya wakulima ya  nanenane.

Mbunge wa Jimbo la Kilosa Mustafa Mkulo (kushoto) akisaini kitabu cha wageni jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara ya Fedha katikati maonyesho ya nanenane.(Picha zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma).
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.