Wananchi mbalimbali wakiendelea na Usajili wa mashindano ya Kili Half Marathon kwenye banda la Tigo jijini Dar es Salaam jana tayari kwa mashindano hayo yatakayofanyika tarehe 26 mwezi huu, Usajili huo ulifanyika kwa kutumia huduma ya Tigopesa, Zoezi la usajili linaendelea leo pia.