![]() |
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akivishwa skafu na vijana wa UCVVM mkoa wa Ruvuma mara baada ya kuwasili mkoani hapo. |
![]() |
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (katikati) akisalimiana na baadhi ya viongozi na WanaCCM waliofika kumpokea katika uwanja wa ndege wa Ruvuma. |

Baadhi ya wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu mara baada ya kuwasili Kijiji cha Kingerikiti Wilayani Nyasa ambapo alifanya mkutano wa hadhara. |
![]() |
Baadhi ya wanaCCM wakimpokea mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu mara baada ya kuwasili Kijiji cha Kingerikiti Wilayani Nyasa ambapo alifanya mkutano wa hadhara. |
![]() |
Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (kushoto) akiwatambulisha wagombea udiwani kwa tiketi ya CCM Jimbo la Nyasa, Wilaya ya Nyasa |
![]() |
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa. |
![]() |
Sehemu ya wananchi na wanaCCM wakiwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa. |
![]() |
Sehemu ya WanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM uliofanyika Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma. |
![]() |
Sehemu ya wajumbe wa kampeni kitaifa pamoja na viongozi wa CCM ngazi mbalimbali katika Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika moja ya mikutano ya kampeni Kijiji cha Tingi. |