Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 87

Year: 2013

BMAF Yapokea Msaada wa Milioni 50 Kuboresha Huduma za Afya

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
BMAF Yapokea Msaada wa Milioni 50 Kuboresha Huduma za Afya

Eleuteri Mangi-Maelezo TAASISI isiyoya kiserikali ya Benjamin William Mkapa Foundation (BMAF) imepokea msaada wa Sh. milioni 50 za kitanzania kwa mwaka 2013 katika kutekeleza mpango…

Continue Reading....

Watalii wa Kichina Elfu 10 Kuja Tanzania Kila Mwaka

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Watalii wa Kichina Elfu 10 Kuja Tanzania Kila Mwaka

CHINA imeahidi kuleta nchini Tanzania watalii 30,000 katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwakani. Ahadi hiyo imetolewa, Oktoba 20, 2013 na Mwenyekiti wa Wakala wa…

Continue Reading....

Serikali Yawatahadharisha Watumishi wa Mahakama

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Serikali Yawatahadharisha Watumishi wa Mahakama

Na Eleuteri Mangi -MAELEZO SERIKALI imewataka watumishi wa Mahakama nchini kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia weledi, sheria, kanuni, taratibu, misingi ya kazi na maadili ya…

Continue Reading....

Mama Salma Awataka Akinamama Wanging’ombe Kusimamia Elimu ya Wasichana

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Mama Salma Awataka Akinamama Wanging’ombe Kusimamia Elimu ya Wasichana

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali waliofika kuwapokea wakati walipowasili kwenye kijiji cha Kipengere tarehe 19.10.2013. Rais Jakaya Kikwete akikata utepe ikiwa…

Continue Reading....

Simba Yazima Furaha za Yanga Ghafla Taifa…!

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Simba Yazima Furaha za Yanga Ghafla Taifa…!

SIMBA SC leo imetoka nyuma kwa mabao 3-0 na kupata sare ya 3-3 na wapinzani wao wa jadi, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu…

Continue Reading....

Wakulima wa Tumbaku Tanzania Kunufaika na Soko la China

Posted on: October 20, 2013 - jomushi
Wakulima wa Tumbaku Tanzania Kunufaika na Soko la China

KILIO cha wakulima tumbaku kuhusiana ukosefu wa soko pamoja na bei kubadilika kitamalizwa hivi karibuni baada ya zao hilo kupata kibali cha kuuzwa kwenye soko…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari