Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 66

Year: 2013

Dk. Bilal Ataka Korosho Kuchakatua kwa 100% Nchini

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Dk. Bilal Ataka Korosho Kuchakatua kwa 100% Nchini

Waziri wa Kilimo, Eng. Christopher Chiza, akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kufungua kongamano hilo. Makamu wa Rais Dk. Bilal, akiwa katika picha ya…

Continue Reading....

Toyota Passo Inauzwa Bei Poa

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Toyota Passo Inauzwa Bei Poa

Pichani Juu ni Gari inauzwa bei nzuri tu na Gari hii imeagizwa Kutoka Japan na sasa Ipo Dar Kwa atakayeipenda Tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chini.…

Continue Reading....

Mkutano wa Amani na Usalama EAC Kufanyika Nchini Burundi

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Mkutano wa Amani na Usalama EAC Kufanyika Nchini Burundi

Na Mwandishi wa EANA, Arusha MKUTANO wa pili wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC) kuhusu masuala ya Amani na Usalama utafanyika mjini Bujumbura,Burundi kati…

Continue Reading....

Serikali Yasema Haijafuta Daraja Ziro Kidato cha Nne..!

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Serikali Yasema Haijafuta Daraja Ziro Kidato cha Nne..!

Na Joachim Mushi SERIKALI imesema haijafuta daraja ziro kwenye mtihani wa taifa kama inavyo endelea kutafsiriwa na wananchi wengi mara baada ya kutoa viwango vipya…

Continue Reading....

Vita ya Lema na Zitto Yafika Pabaya, Lema Asema ni ‘Mnafiki’…!

Posted on: November 4, 2013November 4, 2013 - jomushi
Vita ya Lema na Zitto Yafika Pabaya, Lema Asema ni ‘Mnafiki’…!

VITA vya maneno kati ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe imefika pabaya. Vita hiyo ya maneno…

Continue Reading....

Mjumbe wa Tume ya Katiba Acharangwa Mapanga Dar

Posted on: November 4, 2013 - jomushi
Mjumbe wa Tume ya Katiba Acharangwa Mapanga Dar

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini, Dk Sengondo Mvungi amejeruhiwa usiku wa kuamkia jana, baada ya kukatwa kwa mapanga na watu wasiojulikana waliovamia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari