Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • Page 46

Year: 2013

Samsung Yatoa Zawadi kwa Washindi 15 wa ‘Pambika na Samsung’

Posted on: November 18, 2013November 19, 2013 - jomushi
Samsung Yatoa Zawadi kwa Washindi 15 wa ‘Pambika na Samsung’

  Meneja Masoko Rejareja wa Samsung Tanzania Bw. Sylvester Manyara (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mwenendo mzima wa promosheni ya Pambika na…

Continue Reading....

Hatari: Watu Wauza Damu Zao Mitaani

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Hatari: Watu Wauza Damu Zao Mitaani

WAKATI Serikali ikisisitiza kuwa huduma ya kumwongezea mgonjwa damu hospitalini ni bure, imebainika kwamba baadhi ya watu mitaani wakiwamo wabeba mizigo sokoni wanauza damu zao…

Continue Reading....

Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Bunge Lakataa Kubariki ‘Division 5’

KAMATI ya Bunge ya Huduma za Jamii, imevikataa viwango vipya vya alama za ufaulu kwa elimu ya sekondari vilivyotarajiwa kuanza kutumika mwaka huu na kutaka…

Continue Reading....

Kikosi cha Zimbabwe Kutua Mchana Dar Kuikabili Taifa Stars

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Kikosi cha Zimbabwe Kutua Mchana Dar Kuikabili Taifa Stars

KIKOSI cha Zimbabwe kinawasili leo mchana (Novemba 18 mwaka huu) kuikabili Taifa Stars katika mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu…

Continue Reading....

Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Mafunzo Kuhusu Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kwa Wanawake Chalinze

Mratibu Msaidizi wa Mradi wa Ukimwi ILO Getrude Sima (kushoto) akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Kaimu Afisa Tarafa ya Chalinze kata ya Pera Bw.…

Continue Reading....

Sensei Rumadha Fundi Azidi Kuwaimarisha Wapiga Karate Marekani

Posted on: November 18, 2013 - jomushi
Sensei Rumadha Fundi Azidi Kuwaimarisha Wapiga Karate Marekani

MTAALAMU wa michezo ya Karate na Yoga Mtanzania Sensei Rumadha Fundi siku ya jumamosi  November 16, 2013. Alitoa semina maalum ya mafunzo kuimarisha viungo kutumia vifaa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari