Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • June
  • Page 21

Month: June 2013

Ugaidi Tena Arusha, Bomu Lalipuka Lajeruhi na Kuua

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Ugaidi Tena Arusha, Bomu Lalipuka Lajeruhi na Kuua

MKUTANO wa Chadema wa kumaliza kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mjini Arusha, jana ulivunjika baada ya bomu kulipuka na kuua watu wanne na wengine…

Continue Reading....

UWT Yawafanyia Sherehe Viongozi wa Chama cha PLO

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
UWT Yawafanyia Sherehe Viongozi wa Chama cha PLO

Mwenyekiti wa Ujoma wa Wanawake Tanzaia (UWT), Sophia Simba akiwalaki Mjumbe wa Kamati Tendaji wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Jehad Abu Zead na…

Continue Reading....

Ukosefu wa Elimu ya Biashara Wawakwaza Wanawake EAC

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Ukosefu wa Elimu ya Biashara Wawakwaza Wanawake EAC

Na Baltazar Nduwayezu, EANA UFAHAMU wa mfumo wa biashara na sheria za forodha ni mahitaji muhimu kwa wafanyabiashara wanawake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…

Continue Reading....

Happiness Watimanywa Aibuka Redds Miss Kanda ya Kati

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Happiness Watimanywa Aibuka Redds Miss Kanda ya Kati

Jaji Mkuu wa Shindano ya Kumsaka Mlimbwende wa Kanda ya Kati, Hashim Lundenga akipungia mikono kwa Watanzania waliofika kushuhudia mlimbwende wa Kanda ya kati anapatikana.…

Continue Reading....

Nape Awapongeza Arusha kwa Kuitosa Chadema

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Nape Awapongeza Arusha kwa Kuitosa Chadema

*Atamba CCM kuzoa kata zote KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndg.Nape Nnauye amewataka wananchi kwenye kata zinazofanya uchaguzi mdogo kesho kupuuza alivyoviita vitimbi…

Continue Reading....

Wawakilishi wa Tanzania Mashindano ya Guinness Football Challenge Washerehekea..!

Posted on: June 16, 2013 - jomushi
Wawakilishi wa Tanzania Mashindano ya Guinness Football Challenge Washerehekea..!

BAADA ya kumalizika kwa mashindano ya Guinness Football Challenge yaliyokuwa yakiendeshwa na Kupitia kipindi maarufu cha Guinness Football Challenge TV Show, hatimaye wawakilishi wa Tanzania…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari