Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • March
  • Page 32

Month: March 2013

Tume ya Kuchunguza Kufeli kwa Kidato cha Nne 2012 Yaomba Maoni kwa Wadau

Posted on: March 9, 2013 - jomushi
Tume ya Kuchunguza Kufeli kwa Kidato cha Nne 2012 Yaomba Maoni kwa Wadau

Picha/Habari Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam TUME ya Taifa iliyoundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuchunguza kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa…

Continue Reading....

Watanzania Watakiwa Kujenga Mazoea Kupima Figo

Posted on: March 9, 2013 - jomushi
Watanzania Watakiwa Kujenga Mazoea Kupima Figo

Na Aron Msigwa – Dar es Salaam WATANZANIA wametakiwa kujenga tabia ya kuvitumia vituo vya afya kupima afya ya figo mara kwa mara na kupata…

Continue Reading....

Kampuni Yamuahidi Dk Shein Kukarabati Uwanja wa Ndege kwa Wakati

Posted on: March 9, 2013 - jomushi
Kampuni Yamuahidi Dk Shein Kukarabati Uwanja wa Ndege kwa Wakati

KAMPUNI ya Sogea Satom ya Ufaransa imeahidi kukamilisha Mradi wa ukarabati na ujenzi wa njia za kupitia ndege wakati wa kuruka na sehemu ya maengesho…

Continue Reading....

Mikakati ya Maendeleo ya Mpira wa Miguu Wanawake 2013

Posted on: March 9, 2013March 9, 2013 - jomushi
Mikakati ya Maendeleo ya Mpira wa Miguu Wanawake 2013

Mikakati ya Maendeleo ya Mpira wa Miguu Wanawake 2013 Utangulizi: AWALI ya yote napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya kamati ya utendaji ya TWFA…

Continue Reading....

CCM Yalaani Kipigo cha Mhariri Mtanzania, Yaitaka Serikali Kuwasaka Wahusika

Posted on: March 9, 2013 - jomushi
CCM Yalaani Kipigo cha Mhariri Mtanzania, Yaitaka Serikali Kuwasaka Wahusika

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa…

Continue Reading....

TFF Yang’ang’ana Kuonana Tena na Waziri Mukangara

Posted on: March 9, 2013 - jomushi
TFF Yang’ang’ana Kuonana Tena na Waziri Mukangara

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amemshukuru Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangara kwa kukubali ombi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari