Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2013
  • March
  • Page 26

Month: March 2013

Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Akutana na Kamati ya Maandili ya Miss Utalii

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Akutana na Kamati ya Maandili ya Miss Utalii

Kamati ya Maandalizi ya Miss Utalii Tanzania ikiongozwa na Rais wa Mashindano hayo Ndugu Erasto G. Chipungahelo Tarehe 12.03.2013 katika ofisi yake iliyopo Kinondoni Manispaa…

Continue Reading....

Dk Shein Atembelea Miradi ya Maendeleo Kaskazini Unguja

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Dk Shein Atembelea Miradi ya Maendeleo Kaskazini Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itahakikisha inapeleka huduma muhimu kwa…

Continue Reading....

Kingunge Awataka Viongozi Kukienzi Kiswahili

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Kingunge Awataka Viongozi Kukienzi Kiswahili

NA: FRANK SHIJA & BENEDICT LIWENGA- MAELEZO MWANASIASA mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amewataka viongozi kukienzi na kuthamini lugha ya Kiswahili ili kuendelea kujenga…

Continue Reading....

Uchaguzi TAFCA Kufanyika Morogoro

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Uchaguzi TAFCA Kufanyika Morogoro

UCHAGUZI wa viongozi wa Chama cha Makocha wa Mpira wa Miguu Tanzania (TAFCA) utafanyika Jumamosi (Machi 16 mwaka huu) mjini Dodoma ambapo wajumbe wanatakiwa kuripoti…

Continue Reading....

Mwandi Yawahimiza Wachezaji wa Ligi Kuu Kuchangamkia Fursa

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
Mwandi Yawahimiza Wachezaji wa Ligi Kuu Kuchangamkia Fursa

WACHEZAJI wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara na Zanzibar wenye umri kati ya miaka 18 na 21 wametakiwa kuchangamkia fursa ya kufanya majaribio ya…

Continue Reading....

President Kikwete Opens the African Conference

Posted on: March 13, 2013March 13, 2013 - jomushi
President Kikwete Opens the African Conference

SPEECH BY H.E. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE OPENING OF THE AFRICAN CONFERENCE ON THE STRATEGIC IMPORTANCE…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari