WANACHUO wa Chuo cha VETA Kipawa Dar es Salaam kuanzia sasa wataanza kulipa ada kupitia huduma ya M-Pesa baada ya chuo hicho kufikia makubaliano na…
Continue Reading....Month: January 2013
Uchumi wa EAC Waimarika 2012 Licha ya Vikwazo Lukuki
Na Isaac Mwangi, EANA UCHUMI katika kanda ya Afrika Mashariki uliendelea kuimarika mwaka uliopita, 2012 licha ya changamoto lukuki iliyokabiliana nazo.Kanda nzima ilionyesha uchumi wake…
Continue Reading....Waziri Pinda Azindua Kitabu cha Wapimbwe
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amezindua kitabu cha historia ya kabila la Wapimbwe lililoko mkoani Katavi na kutayataka makabila mengine kuandika historia zao ili waweze kutunza…
Continue Reading....JK Ajivunia kutekeleza Ahadi yake ya Uchaguzi Igunga
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa Serikali yake inakaribia kukamilisha ujenzi wa madaraja yote 10 yaliyoahidiwa kwenye Ilani ya…
Continue Reading....Rais Kikwete Aweka Jiwe la Msingi kwa Miradi ya Kihistoria Tabora
JANA, Jumanne, Januari 8, 2013, imekuwa siku ya historia kwa Mkoa wa Tabora wakati maelfu ya wananchi wa Mkoa huo walipomshuhudia Rais wa Jamhuri ya…
Continue Reading....