Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Burundi kuchezesha mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Simba ya Tanzania…
Continue Reading....Year: 2012
Wakala asema Balotelli anaonewa England
WAKALA wa Mario Balotelli ameonya mshambuliaji huyo anaweza kuachana na kandanda ya England iwapo ataendelea kutotendewa haki katika matukio mbalimbali. Balotelli, anakabiliwa na adhabu ya…
Continue Reading....Naibu Jaji Mkuu Kenya asimamishwa kazi
*Yaundwa tume chini ya Jaji Mtanzania kumchunguza RAIS wa Kenya, Mwai Kibaki amemsimamisha kazi Naibu Jaji Mkuu, Nancy Baraza na kuunda jopo la majaji ambalo…
Continue Reading....Ikulu yakanusha habari ya Tanzania Daima
*Yabainisha faida ya ziara ya JK Davos Na Mwandishi Maalumu GAZETI la Tanzania Daima la leo, Jumatano, Januari 25, 2012, kwenye ukurasa wake wa kwanza…
Continue Reading....Karibu Kisiwani Zanzibar…!
Usafiri wa jumuia mjini Zanzibar bado zinatumika gari ‘maarufu’ kama “Chai Maharage” ambazo bodi lake limeandaliwa mahususi kwa ubebaji abiria. Raha ya usafiri huu abiria…
Continue Reading....