Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 502

Year: 2012

Wizara ya Afya yawaangukia madaktari waliogoma

Posted on: January 26, 2012January 26, 2012 - jomushi
Wizara ya Afya yawaangukia madaktari waliogoma

*Yaomba wasitishe mgomo Na Aron Msigwa –MAELEZO SERIKALI imewataka madaktari wote nchini Tanzania wanaofanya mgomo kurejea katika vituo vyao vya kazi mara moja na kuendelea…

Continue Reading....

Ujenzi wa Barabara ya Korogwe-Same kuanza

Posted on: January 26, 2012January 26, 2012 - jomushi
Ujenzi wa Barabara ya Korogwe-Same kuanza

*Dk. Magufuli, Kilango washuhudia mkataba wa ujenzi Na Mwandishi Wetu UJENZI wa sehemu ya barabara kati ya Korogwe kupitia Mkumbara hadi Same yenye urefu wa…

Continue Reading....

Makamu wa Rais ziarani Muheza Tanga

Posted on: January 26, 2012 - jomushi
Makamu wa Rais ziarani Muheza Tanga

Continue Reading....

Pinda asema Serikali itaendelea kuboresha sekta ya umma, sheria na fedha

Posted on: January 26, 2012 - jomushi
Pinda asema Serikali itaendelea kuboresha sekta ya umma, sheria na fedha

Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kufanya maboresho kwenye sekta za umma, fedha, sheria za Serikali za Mitaa ili…

Continue Reading....

Steven Galinoma afariki dunia!

Posted on: January 26, 2012January 26, 2012 - jomushi
Steven Galinoma afariki dunia!

ALIYEKUWA Mbuge wa Jimbo la Kalenga, Steven Galinoma amefariki dunia leo mapema. Taarifa zaidi zinasema kuwa Galinoma amefariki dunia leo asubuhi mjini Iringa ndani ya…

Continue Reading....

Tamasha la kuvumbua vipaji Dar (Grassroot)

Posted on: January 26, 2012 - jomushi
Tamasha la kuvumbua vipaji Dar (Grassroot)

Na Mwandishi Wetu TAMASHA la mafunzo ya kuhamasisha watoto kucheza mpira wa miguu na kuvumbua vipaji (Grassroot) kwa shule maalum zilizochaguliwa katika Mkoa wa Dar…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari