Moshi ASKARI Polisi mwenye namba F. 4049 Pc Maneno wa kituo cha polisi kati mjini Moshi mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo…
Continue Reading....Year: 2012
Polisi Kilimanjaro wamshika aliyetaka kula mbwa
Moshi MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Thomas Fosian (28), maarufu kama ‘Mlay Fundi’ mkazi wa Chekereni, Kahe mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Polisi mkoani hapa…
Continue Reading....Wanaushirika Kilimanjaro watakiwa kuwawajibisha viongozi
Moshi WANACHAMA wa Vyama vya Ushirika mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuwawajibisha viongozi ambao si waadilifu ikiwa ni pamoja na kuwaondoa madarakani hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro…
Continue Reading....Prof. Maji Marefu atishia kulishtaki gazeti Mwananchi
MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani kwa jina maarufu kama Prof. Maji Marefu ametishia kulishtaki gazeti la Mwananchi kwa kile anachodai limechapisha picha yake ndivyo…
Continue Reading....Kampeni za Arumeru, CCM waingia kata ya Songoro
g” alt=”” title=”Kina mama wakimbeba Sioi Mulala” width=”640″ height=”430″ class=”size-full wp-image-14742″ />[/caption]
Continue Reading....ATCL wapewa mbinu za kutafuta fedha
Na Magreth Kinabo–Maelezo WADAU wa mkutano wa Kongamano la Taifa la Usafiri wa Anga wamepewa changamoto ya kujadili jinsi kutafuta fedha kwa ajili ya Shirika…
Continue Reading....