Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 427

Year: 2012

Dk. Shein asema SMZ itawatunza wazee wa Unguja na Pemba

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
Dk. Shein asema SMZ itawatunza wazee wa Unguja na Pemba

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea…

Continue Reading....

Francis Cheka, Mada Maugo watambulishwa mkanda wa ubingwa IBF

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
Francis Cheka, Mada Maugo watambulishwa mkanda wa ubingwa IBF

Na Mwandishi Wetu WAANDAAJI wa pambano la ubingwa wa IBF kati ya Francis Cheka na Mada Maugo leo wametambulishwa rasmi mkanda huo ambao utashindaniwa Aprili…

Continue Reading....

MRFA yatakiwa kulipa mil. 15 kuwa mwenyeji wa ligi

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
MRFA yatakiwa kulipa mil. 15 kuwa mwenyeji wa ligi

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekipa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Morogoro (MRFA) hadi Machi 26 mwaka huu kukamilisha malipo ya…

Continue Reading....

Askari polisi ashinda milioni 10 za M-Pesa

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
Askari polisi ashinda milioni 10 za M-Pesa

KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom leo imemkabidhi askari polisi, Peter James Kilalo hundi ya kitita cha sh. milioni 10 kama mshindi wa droo ya mwezi…

Continue Reading....

Spika Makinda awafunda viongozi wa Bunge

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
Spika Makinda awafunda viongozi wa Bunge

Na Magreth Kinabo–MAELEZO VIONGOZI wa Bunge wametakiwa kufuata majukumu yao ya kazi, maadili na kufahamu mipaka yake ya kiutendaji ili kuepusha migogoro inayoweza kutokea. Kauli…

Continue Reading....

TAMWA kufanya Mkutano Mkuu Jumamosi

Posted on: March 22, 2012 - jomushi
TAMWA kufanya Mkutano Mkuu Jumamosi

MKUTANO Mkuu ambao ndicho chombo cha juu kinachotoa maamuzi kuhusu sera na mipango ya Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania–TAMWA, unatarajiwa kufanyika Machi 24, 2012 katika…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari