Na Nicodemus Ikonko, EANA-Arusha MSAJILI wa Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ), Dk. John Ruhangisa ametoa changamoto kwa wanaharakati na watetezi wa mazingira kuchukua hatua za…
Continue Reading....Year: 2012
Rais Kikwete ateua makatibu tawala mikoa 7
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Machi 21, 2012 ameteua Makatibu Tawala wa Mikoa saba na kufanya uhamisho wa wengine watatu.…
Continue Reading....Fainali Daraja la Kwanza kuchezwa Morogoro
Na Mwandishi Wetu MJI wa Morogoro ndiyo utakaokuwa mwenyeji wa kituo cha Fainali ya Tisa Bora ya Ligi Daraja la Kwanza kuwania nafasi tatu za…
Continue Reading....Mshukiwa wa mauaji ya Ufaransa ‘kujisalimisha’
POLISI wenye silaha nzito, wakiwa wamevalia nguo za kujikinga na risasi, wameivamia nyumba moja katika kiunga kilicho kilomita chache kutoka skuli ya Kiyahudi ya Ozar…
Continue Reading....Kikwete aahidi kutekeleza mapendekezo ripoti ya APRM
Na Mwandishi Maalum RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali yake ipo tayari kutekeleza mapendekezo juu ya namna ya kuboresha utawala bora kama yatakavyotolewa na wataalamu…
Continue Reading....Maadhimisho ya wiki ya Kifaransa Tanzania
‘Kifaransa- Lugha ya Umoja’ NCHI 13 zenye uwakilishi wa kidplomasia hapa Tanzania, zimeandaa kwa pamoja tamasha la utamaduni na michezo kwa ajili ya kuadhimisha wiki…
Continue Reading....