Na Mwandishi Maalumu, Brazil RAIS Jakaya Kikwete amewasili Brazil Jumapili Aprili 15, 2012 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tano. Katika ziara hiyo…
Continue Reading....Year: 2012
Vodacom Tanzania yapunguza gharama za M-Pesa kwa 20%
Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imepunguza gharama zake za kutoa fedha kwa kupitia huduma yake ya M-Pesa hadi asilimia 20 ambapo…
Continue Reading....‘Tutaendelea kulinda uhuru wa kuabudu dini zote Zanzibar’
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema itaendelea kulinda uhuru wa dini zote ikiwa ni pamoja na kutokubali kuvumilia vitendo vyovyote vya…
Continue Reading....Mama yake Kanumba atoa wosia kwa SHIWATA
Na Peter Mwenda MAMA Mzazi wa aliyekuwa msanii wa filamu nchini marehemu Steven Kanumba amewataka wasanii wanachama wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) kuendeleza ushirikiano…
Continue Reading....Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali
Msimamo wa Ligi Daraja la Kwanza hatua ya Fainali Msimamo huo ni kabla ya matokeo ya mechi za Mgambo Shooting vs Polisi Tabora (saa 8.00…
Continue Reading....Super ‘D’ aanzisha programu kutafuta mabondia Bora
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Kambi ya Ngumi ya Mkoa wa Ilala Kimichezo, Rajabu Mhamila, ‘Super D’, ameanzisha programu maalumu ya kuwafanyisha mazoezi mazito mabondia…
Continue Reading....