Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano, katika utekelezaji wa mpango…
Continue Reading....Year: 2012
Watoto 40 wapata Kipaimara St. Joseph Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ametoa Daraja la Kipaimara kwa watoto 40 kutoka Parokia ya St. Joseph…
Continue Reading....SYRIA: vita vya wenyewe kwa wenyewe vyanukia
MKUU wa ujumbe wa umoja wa mataifa ameonya kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe Syria baada ya wachunguzi hao kuhesabu miili 92, 32 ikiwa ni…
Continue Reading....Rwanda yashutumiwa kuchochea uasi DRC
Umoja wa Mataifa umesema uasi ulioko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo unachochewa na nchi jirani ya Rwanda. Taarifa ya ndani ya umoja huo…
Continue Reading....Wakuu wa Wilaya/Mikoa watembelea UDOM
Wakuu wa Mikoa na Wilaya waliweza pia kupata nafasi ya kutembelea Jengo la Utawala la Chuo Kikuu Cha Dodoma na kufanya ziara ndani ya Chuo…
Continue Reading....TAIFA STARS, MALAWI ZAINGIZA MIL 40/-
MECHI ya kirafiki ya kimataifa kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (The Flames) iliyochezwa Mei 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam…
Continue Reading....