Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • Page 325

Year: 2012

Iddy mnyeke ajinoa kumkabili Fadhiri Awadhi June 9

Posted on: May 28, 2012May 28, 2012 - jomushi
Iddy mnyeke ajinoa kumkabili Fadhiri Awadhi June 9

Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Vitor Njait wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya Ilala Mnyeke anajitayalisha na…

Continue Reading....

Viongozi wadini watakiwa kupima VVU

Posted on: May 28, 2012May 28, 2012 - jomushi
Viongozi wadini watakiwa kupima VVU

Na mwandishi wetu,Kilimanjaro WATU wanoishi na Virus vya ukimwi (VVU) hapa nchini wametakiwa kuwa wazi na kuepuka kuwaambukiza wengine virusi hivyo, hatua ambayo itafanikisha jitihada…

Continue Reading....

Yanga kutoa mwongozo TFF

Posted on: May 28, 2012May 28, 2012 - jomushi
Yanga kutoa mwongozo TFF

KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ilikutana Mei 26 mwaka huu ili kutoa mwongozo wa…

Continue Reading....

Sezibera awataka wamama kuwezeshwa kumiliki biashara kubwa A.mashariki

Posted on: May 28, 2012May 28, 2012 - jomushi
Sezibera awataka wamama kuwezeshwa kumiliki biashara kubwa A.mashariki

Na mwandishi wetu Arusha KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, ametoa changamoto kwa mabenki na taasisi nyingine za fedha Afrika Mashariki kuongeza nafasi za…

Continue Reading....

Serikali kupunguza ukosefu wa walimu 90% ifikapo 2014

Posted on: May 28, 2012May 28, 2012 - jomushi
Serikali kupunguza ukosefu wa walimu  90% ifikapo 2014

SERIKALI imejipanga kupunguza kwa zaidi ya asilimia 90 tatizo la ukosefu wa walimu linalozikabili shule za sekondari za kata nchini ifikapo mwaka 2014. Naibu Waziri…

Continue Reading....

Maadhimisho ya siku ya Afrika yafana, London

Posted on: May 27, 2012 - jomushi
Maadhimisho ya siku ya Afrika  yafana, London

Na mwandishi wetu London Uingereza Siku ya Afrika iliadhimisha rasmi jana hapa nchini Uingereza kwa kujumisha nchi zote za Afrika zenye Balozi au Wawakilishi wao…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari