Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2012
  • February
  • Page 19

Month: February 2012

Wajumbe EAC wataka mipango ya rushwa iongezewe bajeti

Posted on: February 15, 2012 - jomushi
Wajumbe EAC wataka mipango ya rushwa iongezewe bajeti

Na James Gashumba, Arusha- EANA WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati ya Sekta ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (ECA)…

Continue Reading....

Toa maoni Tanzania kujiunga na Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi

Posted on: February 15, 2012February 15, 2012 - jomushi
Toa maoni Tanzania kujiunga na Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi

TANZANIA imeridhia kujiunga na Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership – OGP). Mpango huu ni juhudi za kimatifa katika…

Continue Reading....

Mkapa asema viwanda ni muhimu kwa maendeleo ya EAC

Posted on: February 15, 2012 - jomushi
Mkapa asema viwanda ni muhimu kwa maendeleo ya EAC

Na Nicodemus Ikonko, EANA RAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Benjamin Mkapa, amesema kwamba iwapo Afrika Mashariki imepania kuleta maendeleo katika kanda hiyo,…

Continue Reading....

‘Lema alishawishi achaguliwe aitoe Serikali ya Majambazi’

Posted on: February 15, 2012 - jomushi
‘Lema alishawishi achaguliwe aitoe Serikali ya Majambazi’

Na Mwandishi Wetu, Arusha HAPPY Kivuyo ambaye ni shahidi wa tatu kesi namba 13 ya 2010 ya kupinga matokeo ya ushindi Mbunge wa Arusha Mjini,…

Continue Reading....

Ligi Kuu Vodacom kuunguruma tena leo

Posted on: February 15, 2012February 15, 2012 - jomushi
Ligi Kuu Vodacom kuunguruma tena leo

LIGI Kuu ya Vodacom inaingia raundi ya 18 leo Februari 15 mwaka huu kwa mechi nne zitakazochezwa viwanja vya Sheikh Kaluta Amri Abeid jijini Arusha,…

Continue Reading....

Wafanyakazi Vodacom katika kampeni ya ‘Find your Moyo’

Posted on: February 15, 2012February 15, 2012 - jomushi
Wafanyakazi Vodacom  katika kampeni ya ‘Find your Moyo’

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari