Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • September
  • Page 41

Month: September 2011

Hongereni maarusi wa KKKT Azania Front Septemba 3

Posted on: September 3, 2011 - jomushi
Hongereni maarusi wa KKKT Azania Front Septemba 3

Baadhi ya harusi zilizofungwa katika Kanisa la KKKT Azania Front Septemba 3 zikiwa katika picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki mara baada ya…

Continue Reading....

CCM yamzika mtoto aliyekufa kwenye kampeni

Posted on: September 3, 2011 - jomushi
CCM yamzika mtoto aliyekufa kwenye kampeni

Na Mwandishi Wetu, Igunga CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kilikuwa mstari wa mbele katika maandalizi na mazishi ya Peter Ezekiel (12) aliyegongwa na lori mjini…

Continue Reading....

Rais Kikwete azindua Kamati ya Misaada Kitaifa kwa Somalia

Posted on: September 2, 2011 - jomushi
Rais Kikwete azindua Kamati ya Misaada Kitaifa kwa Somalia

Na Mwandishi maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo, Ijumaa, Septemba 2, 2011, amezindua rasmi Kamati ya Kitaifa ya Misaada ya…

Continue Reading....

Mbowe amjia juu Mkuchika, adai ukada unamponza!

Posted on: September 2, 2011 - jomushi
Mbowe amjia juu Mkuchika, adai ukada unamponza!

Na Mwandishi Wetu, Arusha CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshutumu hatua ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (TAMISEMI), George Mkuchika, kumwagiza Mkurugenzi…

Continue Reading....

Wanaopinga ubunge wa Lema wampeleka mahakamani

Posted on: September 2, 2011 - jomushi
Wanaopinga ubunge wa Lema wampeleka mahakamani

Na Janeth Mushi, Arusha KESI ya kupinga matokeo ya Ubunge dhidi ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), inatarajiwa kuanza kusikilizwa Jumatatu mbele ya…

Continue Reading....

Gwaride la ‘FFU’ kuendelea Markt, Steinhude!

Posted on: September 2, 2011 - jomushi
Gwaride la ‘FFU’ kuendelea Markt, Steinhude!

FFU wa Ngoma Africa Band wanatarajia kutingisha Jukwaa la Afrika Markt, Steinhude, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya (Ngoma Africa Band)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari