Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • September
  • Page 40

Month: September 2011

ST. Therese Lisieux yawaaga wahitimu STD Seven

Posted on: September 4, 2011September 4, 2011 - jomushi
ST. Therese Lisieux yawaaga wahitimu STD Seven

SHULE ya St. Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam imefanya maafali ya kuwaaga wahitimu wa Darasa la Saba katika shule hiyo. Zifuatazo ni…

Continue Reading....

Barrick yatumia bilioni 1/- kutengeneza barabara za Tarime

Posted on: September 4, 2011September 4, 2011 - jomushi
Barrick yatumia bilioni 1/- kutengeneza barabara za Tarime

Mwandishi Wetu Tarime MGODI wa dhahabu wa North Mara unaomilikiwa na kampuni ya Barrick umetumia zaidi ya shilingi bilion 1 katika kipindi cha hivi karibuni…

Continue Reading....

Nape atinga Igunga, Chadema wapagawa!

Posted on: September 4, 2011 - jomushi
Nape atinga Igunga, Chadema wapagawa!

Na Mwandishi Wetu, Igunga KATIBU wa NEC ya CCM, Nape Nnauye leo ametinga katika jimbo la Igunga mkoani Tabora na kuzusha taharuki kwa viongozi wa…

Continue Reading....

Guinness Football Challenge ndani ya Leaders Club

Posted on: September 4, 2011 - jomushi
Guinness Football Challenge ndani ya Leaders Club

SHINDANO la kuwapata wataalamu wa kuchezea mpira na wenye vipaji kwa kujua taarifa mbalimbali za maswala ya mpira ulimwenguni linaendelea katika viwanja vya Leaders muda…

Continue Reading....

Guinness Football Challenge ndani ya Leaders Club

Posted on: September 4, 2011 - jomushi
Guinness Football Challenge ndani ya Leaders Club

>[/caption] SHINDANO la kuwapata wataalamu wa kuchezea mpira na wakali wa kujua taarifa mbalimbali za maswala ya mpira linaendelea katika viwanja vya Leaders muda huu.…

Continue Reading....

Nyaraka za siri za Serikali ya Gaddafi zaibua mazito

Posted on: September 3, 2011 - jomushi
Nyaraka za siri za Serikali ya Gaddafi zaibua mazito

NYARAKA zilizopatikana kwenye Jengo la Serikali ya Libya mjini Tripoli, zinaonesha uhusiano wa karibu baina ya mashirika ya ujasusi ya mataifa ya magharibi na Serikali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari