Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefanya mabadiliko madogo ya ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kutokana na Uwanja wa…
Continue Reading....Month: September 2011
Kliniki ya mpira wa kikapu yaanza Don Bosco leo
KLINIKI ya mafunzo ya mpira wa kikapu nchini kwa vijana kutoka mikoa 16 ya Tanzania imeanza leo ndani ya viwanja vya Don Bosco Upanga jijini…
Continue Reading....Twiga Stars yalabwa 2-1
TIMU ya wanawake ya Taifa ya Tanzania (Twiga Stars) imepoteza mechi yake ya kwanza ya michezo ya All Africa Games (AAG) baada ya leo kufungwa…
Continue Reading....Vodacom Tanzania yapata Bosi Mkuu Mpya
Na Mwandishin Wetu KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Vodacom jana imemtangaza, Rene Meza kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo hapa nchini. Rene ambae…
Continue Reading....