Month: September 2011
Mama Kikwete awataka vijana kuchapa kazi
Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka vijana nchini Tanzania kufanya kazi kwa bidii kwani wao ni chachu ya maendeleo…
Continue Reading....CHADEMA wafunika Igunga, Dk. Slaa ‘amnanga’ Mkapa
Na Mwandishi Wetu, Igunga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kilifunga mitaa kadhaa kwa kuwa na umati wa wanachama, wapenzi na wafuasi wa chama…
Continue Reading....Prof. Tibaijuka acharuka, afuta viwanja 87 vilivyovamiwa
Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imeanza kufanya oparesheni maalumu kuhakikisha inayarejesha maeneo yote ya wazi yaliyovamiwa kinyemela maeneo ya…
Continue Reading....Nimekuja Igunga kuchukua ushindi – Mkapa
Na Bashir Nkoromo, Igunga MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa amewasili Igunga jana jioni kwa ajili ya kufungua kampeni…
Continue Reading....