Mwandishi Maalumu, Nairobi SERA ya Serikali ya Tanzania kutoa ruzuku ya mbegu na mbolea kwa wakulima wadogo wadogo wa chakula nchini imeanza kuzaa matunda kwa…
Continue Reading....Month: September 2011
Mkapa kuanza mashambulizi Igunga leo
Na Bashir Nkoromo, Igunga MWENYEKITI mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anaunguruma leo mjini hapa atakapohutubia mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za…
Continue Reading....Tanzania kuiuzia Kenya tani 10,000 za mahindi
Na Mwandishi Maalumu TANZANIA na Kenya zimekubaliana kukomesha biashara ya miaka mingi ya magendo ya chakula kwenye mpaka wa nchi hiyo kwa kuamua kuuziana chakula…
Continue Reading....‘FFU’ Ngoma Africa Band kuvamia Bremen City, Ujerumani
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, wanatarajia kutumbuiza katika onesho kubwa la aina yake “AFRIKA MESSE” mjini Bremen,…
Continue Reading....Pinda awataka waajiri wasiwabane wafanyakazi kujiendeleza
Na Mwandishi Maalumu WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amewataka waajiri mbalimbali nchini kutoa ruhusa kwa watumishi waliowaajiri ili waweze kujiendeleza kielimu kwa kutumia njia ya elimu…
Continue Reading....