TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba, idadi kubwa ya abiria wanahisiwa kupoteza maisha baada ya Meli ya LCT Spice Islanders kuzama katika Bahari ya…
Continue Reading....Month: September 2011
Kampeni Igunga: Rostam amtumia Mkapa
Mwandishi wetu – Adaiwa kumwangukia ashirikishwe KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna…
Continue Reading....Pingamizi kesi ya madiwani Chadema zasikilizwa
Na Janeth Mushi, Arusha HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Hawa Mguruta amekubali kusikiliza pingamizi la wadaiwa ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA,…
Continue Reading....Kampeni za Chadema Igunga katika picha
KAMPENI za kugombea ubunge Jimbo la Igunga zinaendelea huku vyama vyenye upinzani mkali katika jimbo hilo vya CHADEMA, CCM na CUF vikiendelea kunadi wagombea wao…
Continue Reading....BAE yakubali kurejesha fedha za Rada Tanzania
KAMPUNI ya kutengeneza silaha za Kijeshi ya Uingereza ‘BAE Systems’, hatimaye imekubali kuilipa moja kwa moja Serikali ya Tanzania dola milioni 47. Fedha hizo ni…
Continue Reading....Chuo Kikuu South Carolina Marekani kushirikiana na Chuo cha Taifa Zanzibar
Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar CHUO Kikuu cha Taifa cha South Carolina kiliopo Marekani, kimesema kitaendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya elimu ikiwa…
Continue Reading....