Taariza zilizotufikia hapa dev.kisakuzi.com ni kwamba chuo cha Sheffield kinazo Scholarship kwa ajili ya wanafunzi wa Kitanzania walioonyesha uhodari mkubwa katika masomo yao, na wana dhamiria kujiunga…
Continue Reading....Month: August 2011
Omo Tribes From The Valley
Photographer Marcos Lira visited the remote tribes of the Omo Valley, Ethiopia, in 2010. Their remoteness and inaccessibility has enabled the tribes to resist outside…
Continue Reading....‘FFU’ Ngoma Africa Band kutingisha Jukwaa la Afrika Festival, Ujerumani Agosti 20
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, wanatalajia kutumbuiza katika onesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler, nchini Ujerumani.…
Continue Reading....Nyota wa mpira wa kikapu Marekani kuja Tanzania
Taarifa kwa wadau na wapenzi wa mpira wa kikapu Tanzania. SHIRIKISHO la Mpira wa Kikapu Tanzania pamoja na ndugu zetu wa Ubalozi wa Marekani nchini…
Continue Reading....Mikoa 11 kushiriki sensa ya majaribio Tanzania
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Morogoro JUMLA ya mikoa 11 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa kushirikia katika sensa ya majaribio ya watu na Makazi itakayoanza…
Continue Reading....Timu ya Kamanda Kova yaingia Daraja la Kwanza
Na Mwandishi wetu’ LIGI ya Taifa ngazi ya Fainali imemalizika jana kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga, huku ikizipa nafasi ya kupanda daraja la kwanza…
Continue Reading....