Na Mwandishi Wetu, VIINGILIO katika mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya mabingwa watetezi Yanga…
Continue Reading....Month: August 2011
RC Machibya afungua mafunzo ya wakufunzi wa Sensa
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Kanali mstaafu Issa Machibya (katikati) akifungua mafunzo ya wiki moja ya wakufunzi wa Sensa ya majaribio itakayofanyika kuanzia Septemba 4…
Continue Reading....Dk. Bilal akabidhi zawadi kwa washindi mashindano ya Qur-an
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa fainali za mashindano ya Qur-an, kuhifadhi…
Continue Reading....Dk Shein atembelea vituo vya ununuzi karafuu Pemba
Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ameendelea na ziara yake kisiwani Pemba kwa kutembelea…
Continue Reading....Kesi ya Mubarak yaendelea nchini Misri
ALIYEKUWA Rais wa Misri, Hosni Mubarak anatarajiwa kufika mahakamani kwa awamu ya pili ya kusikilizwa kwa kesi ya kihistoria dhidi yake. Rais huyo aliyeng’olewa madarakani…
Continue Reading....Rais Kikwete atuma rambirambi kwa balozi Nhigula
RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Balozi na Mwanasiasa George Nhigula ambaye aliaga dunia usiku wa kuamkia Agosti 13,…
Continue Reading....