Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • 2011
  • July
  • Page 28

Month: July 2011

‘FFU’ ndani ya Internationals African Festival Germany

Posted on: July 11, 2011 - jomushi
‘FFU’ ndani ya Internationals African Festival Germany

Bandi ya ‘FFU’ ikiwa jukwaani ikitumbwiza *Jumamosi ya 16.07.2011 inakaribia *Mabakuli ya “Supu ya Mawe” uwanjani kila moja na lake! Bendi maarufu ya mziki wa…

Continue Reading....

Dk. Bilal azindua Kigoda cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Posted on: July 11, 2011July 12, 2011 - jomushi
Dk. Bilal azindua Kigoda cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kumbukumbu ya Kigoda cha…

Continue Reading....

KUZALIWA SUDAN KUSINI: Ni furaha, kilio kwa Afrika?

Posted on: July 11, 2011 - Rungwe Jr.
KUZALIWA SUDAN KUSINI: Ni furaha, kilio kwa Afrika?

  *Taifa moja lagawanyika katikati ya ndoto za Afrika Moja *Kuendekeza udini, ukabila vyachochea mgawanyiko wake *Kuwa mwanachama mpya Jumuiya ya Afrika Mashariki JUBA, Sudan…

Continue Reading....

CHADEMA ‘wateka’ Bunge!

Posted on: July 11, 2011 - Rungwe Jr.
CHADEMA ‘wateka’ Bunge!

*Ni Tundu Lissu na John Mnyika *Wawapeleka puta mawaziri “Waondoa shilingi, CCM wawazidi ujanja Na Waandishi Wetu, Dodoma WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Continue Reading....

Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke ndani ya Sun Sirro

Posted on: July 11, 2011 - jomushi
Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke ndani ya Sun Sirro

Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa…

Continue Reading....

Mkurugenzi UNDP aanguka mkutanoni, afariki dunia

Posted on: July 11, 2011July 11, 2011 - jomushi
Mkurugenzi UNDP aanguka mkutanoni, afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Tanga MKUTANO wa Uhamsishaji uliofanyika siku moja tu kabla ya madhimisho ya kilele cha siku ya idadi ya watu duniani jana uliingia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari