
Ofisa tawala wa mkoa wa katavi Eng Emmanuel Kalobero akimuonyesha waziri mkuu Mizengo Pinda shamba lake ambalo amepanda miembe na mahindi kwakufuata kanuni bora za kilimo

Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwa katika shamba la Ras wa mkoa wa Katavi Eng Emmanuel Kalobelo akiangalia anavyo panda miembe ya kisasa kushoto kwa waziri mkuu ni mkuu wa mkoa wa Katavi Dr Rajabu Rutengwe anayefuatia ni mwenyekiti wa uwt mkoa wa katavi Anna Lupembe Waziri mkuu yupo katika jimbo lake kuhimiza kilimo na kuwataka viongozi kuwa mfano kwa wana nchi katika kilimo cha kisasa picha na chris mfinanaga