
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda akipokea kitabu cha muongozo wa kilimo bora wazao la embe kutoka kwa wanachama wa kilimo cha Embe Tanzania (AMAGRO) kitabu hicho alikabidhiwa na Mwenyekiti wa (magro), Burton Nsape shughuli hiyo ya kukukabidhi imefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu magogoni Dar es salaam (Picha na Chris Mfinanga)
