
akitoa maelezo kwa washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika
kwa ajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita walitembelea
kiwandani hapo leo mchana.

akitoa maelezo kuhusu namna ya upakiaji wa bia ya Tusker kwa washiriki
kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker
Project Fame msimu wa sita walitembelea kiwandani hapo leo mchana.

katika picha ya pamoja na wageni mara baada ya kumaliza ziara yao katika
kitengo cha uzalishaji.

ya pamoja na washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili
ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita, mara baada ya kutembelea
kiwandani hapo hii leo.
