
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Africa Century 4 Development (CC), Fred Simon akizungumza na waandishi wa habari pamoja na kuwakaribisha wakulima wa kilimo cha kisasa kutoka makampuni 13 ya nchini Afrika Kusini ambayo yamekuja Tanzania kwa ajili ya matembezi ya kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo na kuangalia fulsa za kuikwamu Tanzania katika mpango wa kilimo kwanza.