
| Wadhamini wa mbio za Marathon msimu wa 2016 wakiwa katika picha ya pamoja. |
| Wana habari wakiwa katika uchukuaji wa tukio hilo ili kuipasha jamii. |
| Wadau wa masuala ya riadha pamoja na wana habari mabalimbali wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa msimu wa mbio za marathoni za Kilimanjaro msimu wa 2016. |
