Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde alipopata fursa ya kujibu baadhi ya hoja – ikiwemo ya Mchungaji Christopher Mtikila. Vishindo vya Lusinde vililenga kunyamazisha hoja ya kuwa wapo wajumbe waoga katika kubainisha hoja zao.
Video: Vishindo vya Lusinde ndani ya Bunge la Katiba, asema acheni uoga

