Related Post

8 thoughts on “Unataka kuepuka mgao wa Umeme? Mtafute huyu jamaa

  1. Sasa mbona untuletea habari ambayo haijakamilika?? Kwanza mi sidhani kama ni sahihi kuiweka kwenye ukurasa wa vitimbi, huyu ni mtu muhimu sana au na wewe ndo walewale wanaodharau vya kwao ni kutukuza vya wazungu?? Huyu jamaa anatakiwa asaidiwe kusikika ili sisi wenye uwezo,nia na mioyo ya kizalendo tuone jinsi ya kumuwezesha, we vipi bwana!!!!??

  2. aise Tanzania tuna wagunduzi wengi ila sasa urasimu uliopo katika kuwanyenyua zaid umekuwa mkubwa kiasi cha kwamba vipaji vinakufa, pia serikali yetu haitoi msukumo wowote katika mambo mazuri kama haya.

  3. this is real surprising,,this man deserve congrats and if it is possible wealthy people should better expose and support him to increase his knowledge and his creativity,,,to provide him capital and materials.he did very fantastic job….. wonderful!! wonderful !! wonderful!!!!.

  4. jamaa ametisha sana watu kama wawa selikali yetu isiwafumbie macho nakuwaacha wapotee……………….

Comments are closed.