Wafanyakazi wakingia uwanja wa Uhuru zilipofanyika sherehe za Mei Mosi, Dar es salaamWanyakazi wakiingia uwanjani wakiwa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu, Dr Kamugisha Kazaura pamoja na Mkuu wa Idara ya Raslimali Watu, Emmanuel Edward, katika shehere za Mei MosiWafanyakazi wakiwa pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dr. Kamugisha Kazaura wakifuatilia matukio kwenye uwanja, katika siku ya Mei Mosi.Wafanyakazi wakiwa uwanjaniWafanyakazi wakiwa uwanjaniWafanyakazi wa TTCL wakiwa kwenye Maandamano siku ya Mei Mosi.Wafanyakazi wakingia uwanja wa Uhuru zilipofanyika sherehe za Mei Mosi, Dar es salaam5. Wafanyakazi wakiwa uwanjaniAfisa Mtendaji Mkuu Dr Kamugisha Kazaura akizungumza na wafanyakazi baadaya kumalizika kwa sherehe za Mei Mosi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam